slyve Ramon
Member
- Jul 18, 2017
- 65
- 34
Habarn wakuu, kwa yeyote anaeifahamu or alienao huu wimbo plz naomba unitumie, Ni nyimbo flan hv i think niya South Africa ina mahadhi fln hv ya kwaito alaf ni ya ktambo kdg kama around 90s , wanaimba "Selebona, Selebona,Selebona... " Nawaomben wakuu kama mtu anayo plz anitumie, coz nmeitafut SN bla mafanikio [HASHTAG]#Merry[/HASHTAG] Christmas[emoji319] and Happy new year[emoji322]