Msaada iPhone

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,179
Reaction score
3,103
Nikitaka kutengeneza apple id inaleta hivi.msaada tafadhali kwa wajuzi
 
Unanunuaje iphone ikiwa hata kiingereza basic tuu hukielewi?
Wewe ushawahi kufanya mawasiliano na hao iphone wewe,ukaona milolongo yao?au unazani shida yangu ni kingereza
 
Kuna id kadhaa umesha zifungua ndo maana inakataaa fanya hivi iache kwa Muda ndani ya masaa 24 usiilazimishe yakishapita hayo masaa jaribu kuingiza I'd ya mwisho uliyo fungua
Nikitaka kutengeneza apple id inaleta hivi.msaada tafadhali kw
 
Kuna id kadhaa umesha zifungua ndo maana inakataaa fanya hivi iache kwa Muda ndani ya masaa 24 usiilazimishe yakishapita hayo masaa jaribu kuingiza I'd ya mwisho uliyo fungua
Ubaya ni kwamba mtumiaji hakunbuki chochote,kafungua nyingi nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…