Mbona maelezo yanajieleza hapo au English haipandNikitaka kutengeneza apple id inaleta hivi.msaada tafadhali kwa wajuziView attachment 2668504
Si ajabu jamaa kanunua simu ya wiziUnanunuaje iphone ikiwa hata kiingereza basic tuu hukielewi?
Unanunuaje iphone ikiwa hata kiingereza basic tuu hukielewi?
Aloo jamaa kaongea logic, chuga mna vichwa sana
Nikitaka kutengeneza apple id inaleta hivi.msaada tafadhali kw
Ana akili sana huyu JAMA,ahaaaa
Ubaya ni kwamba mtumiaji hakunbuki chochote,kafungua nyingi nyingi tuKuna id kadhaa umesha zifungua ndo maana inakataaa fanya hivi iache kwa Muda ndani ya masaa 24 usiilazimishe yakishapita hayo masaa jaribu kuingiza I'd ya mwisho uliyo fungua
Basi hiyo kabay pass tu haiwezi kukubari.Ubaya ni kwamba mtumiaji hakunbuki chochote,kafungua nyingi nyingi tu