Ishina
Senior Member
- Dec 27, 2011
- 169
- 57
habari wadau!
Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida na maongezi yanafanyika Kama kawaida, tatizo ni display tu haioneshi kitu, kumetokea Kama three horizontal bars hivi za blue na black.
Mwenye-uelewa wa namna ya ku-sort out issue hii atakuwa amenisaidia saana.