Rancho Chand
Senior Member
- Nov 4, 2012
- 150
- 71
Wadau simu yangu imekuwa pasua kichwa. Ina tatizo lifuatalo, kuna muda inapitisha charge, sometimes haipitishi kabisa kwa kutumia same cable. Nshabadili cable kibao lakini tatizo lipo pale pale.je tatizo linaweza kuwa nini?