Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,423
- 8,367
Naomba msaada kwa wataalamu. Nimenunua iphone ya kichina nikaunganisha kwenye cpc. Imeshindwa kusoma. Ikawa ina install kwa muda mrefu baadaye pc ikaniambia your device failed to install. Nifanyeje jamani?
Umenunua bei gani duka gani?na mi naitaka hyo iPhone ya kichinaNaomba msaada kwa wataalamu. Nimenunuua iphone ya kichina nikaunganisha kwenye cpc. Imeshindwa kusoma. Ikawa ina install kwa muda mrefu baadaye pc ikaniambia your device failed to install. Nifanyeje jamani?
Umenunua bei gani duka gani?na mi naitaka hyo iPhone ya kichina
Umenunua bei gani duka gani?na mi naitaka hyo iPhone ya kichina
MKUU KUNA AMBAYO NINAYO HAPA ILA NI ORIJINO TATIZO MI INANISHINDA KUTUMIA KWA SABABU HIZI SIMU SIJAWAHI KUTUMIA SO KAMA UTAINIPA HELA KIDOGO NIKUACHIE NI MPYA NA INA KILA KITU CHAKE ILA SIJUI NI iPHONE NGAP.