FBI sio mafundi simu?
Tena ni moto wa kuotea mbali. Here was the synopsis.
FBI waliwaomba Apple, fungueni hii simu. Apple wakasema hatuna uwezo huo kwa vile iPhone ikilazimishwa kufunguliwa, by brute force that is, inajifuta milele!
FBI wakasema ok tengenezeni code ya kuiambia iPhone isijifute. Apple wakakataa, wao wanajiuza kwa sifa ya ku address privacy concerns za wateja na wanajiuza pia kwa kusema hata sisi Apple wenyewe password yako hatuijui.
FBI wakawashtaki Apple mahakamani kuwalazimisha watengeneze software ambayo itatumika kusaidia kuifungua Iphone.
Wakati kesi inajivuta vuta FBI wakaiambia mahakama na Apple, you know what, never mind!
FBI kumbe wameingia mtaani wakapata ka kampuni fulani kalikokuwa kametunga code wanayoitaka FBI. FBI wakainunua software, wakaingia lab kwao, wakaitumia kuiambia iPhone usijifute wala usijizime wakati tunakushugulikia. Wakai hook iphone kwenye computer ambayo inajaribu ma combination ya maherufi yote na ma namba yote ulimwenguni! BRUTE FORCE! Wenyewe wanaita. Kitu kikabana, kikabana, kikabana, kikabana mara pooof, kikaachia! Kudadadada DEKI!
Kwa hiyo mpaka sasa, unless kuna updated development ambayo sijaisikia, FBI (pamoja na hao masela wao waliowauzia mchongo), FBI wanaijua iPhone kuliko Apple wenyewe to the extent of its security features.
Hao utasema sio mafundi?
The take home here is that usiseme "hakuna fundi duniani atafungua hiyo simu..." You don't know that!