Habari ya jioni wakuu, Judi niliiweka kwenye charge simu yangu iPhone 4S na nikalala, after 5 hours nikaamka ikawa very hot na imezima. Kila nikiwasha inagoma mpaka sasa, naomba msaada wa nini cha kufanya au Kama kuna mtaalamu wa kuweza kutatua tatizo hili.
nitashukuru kwa msaada wenu

Huyu jamaa yupo humu nadhani anatumia jina la seriondavidyour destiny is here ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::.. check na hao jamaa your problem is over
This is the only solution, iache pozi Kwa 48hrs kisha I plug Kwenye charge itawaka.. ONYO!!!! USIPELEKE KWA MAFUNDI.. Narudia tena ONYO.. Usipeleke Kwa mafundi .. Ukitaka Kujua zaidi why 2 days ntakueleza.. That is common for I phones 4, 4s, and 5 Kufanya internal restorationtatizo kama ili liliishawahi kunitokea kwenye iphone yangu mimi nilichofanya niliiweka kwenye begi for almost 2 days nikajifanya kama nimeisahau ile najaribu kuwasha ikakubali yenyewee...