Muhubiri
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 140
- 120
Ninatumia Iphone 4, imeanza kusumbua keys za row ya chini hazikubali kabisa, ingawa ili button ya kui-unloch ulislide inafanya kazi, wenye mautaalamu yenu naomba msaada, tatizo hapa ni software au mechanical, haijadondoka, haina crack yeyote, inawiki mbili tu ya matumizi, kutoka itoke nje ya nchi, na ilikuwa inafanya kazi bila shida.