msaada: iphone 4 vs samsung galaxy s2

dgratius

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
218
Reaction score
11
wakuu kwa sasa natumia galaxy s2...sema ningetaka nibadilishane na jamaa yangu anipe iphone 4 ..sema cjawahi tumia iphone hapo awali. sababu ya kuitoa hii s2 ni charge na haiko stable na network kwenye interior areas...sasa je iphone 4 kuichukua itakuwa a right choice au nibakie tu na s2 yangu..naombeni msaada wenu.....thanks in advance
 
Mkuu kama samsung yako haiko stable na network basi itakuwa ni S2 clone...mimi nipo interior huku na wala sina tatizo la network...kuhusu charger nakubaliana na wewe ila ni pale tu unaposwitch to 3G, ila kwa original bado charge inakaa. Pia kwenye iphone 4 inabidi uwe makini kwani pia kuna clones nyingi sana.
 

mkuu hii sio clone tena ina run ics swala la charge ndio lipo kwenye 3g na tatizo la stability kwenye network nimelirekebisha leo baada ya factory reset...so hii sio clone mkuu
 

Ukiwa interior ya Nchi huwezi kupata matatizo ya network.
Labda ukiwa Exterior
 

Unamaana gani kusema "clone" kk inawezekana na yangu ipo hivyo maana inazingua kinoma
 


Unamaanisha nn ukisema "clone" tusaidiane kidogo
 
Mkuu mm nilikua natumia S2 original na ikawa mida ya jioni nikiwa nyumbani inanisumbua sana net hata kutembelea Jf ilinibidi nitumie laptop,sasa nimenunua IPhone 4S naona manadoliko makubwa sana.
 
Mkuu mm nilikua natumia S2 original na ikawa mida ya jioni nikiwa nyumbani inanisumbua sana net hata kutembelea Jf ilinibidi nitumie laptop,sasa nimenunua IPhone 4S naona manadoliko makubwa sana.
thanks mkuu....itabidi tu nichukue iphone kwa sasa maana hii inakera sana sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…