Msaada!!! IOS6 Update

richy17

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
57
Reaction score
4
heshima kwenu wakuu!!!!...nimeupdate Iphone 4s kwenda IOS6 na sasa hivi sijui jinsi ya ku-unlock coz sijaipata hiyo software...anayweza kunisaidia aniambie cha kufanya coz hapa nilipo nimepanic balaa
 
Imesemaje baada ya kuapgread
inaniambia ni-unlock ili niweze tumia sim card za huku bongo but shida ni kwamba hakuna program ya kui-unlock hadi sasa yani ya hyo IOS6
 
inaniambia ni-unlock ili niweze tumia sim card za huku bongo but shida ni kwamba hakuna program ya kui-unlock hadi sasa yani ya hyo IOS6

usije upgrade hardware yako kwa software bila uhakika wa uwezo wa jailbreak/ hack/ crack
hacking 101 :biggrin:
 
usije upgrade hardware yako kwa software bila uhakika wa uwezo wa jailbreak/ hack/ crack
hacking 101 :biggrin:
ndo hvyo nishafanya kwa bahati mbaya....so nitafanyaje ili kuepuka tatizo??
 
inabidi usubiri watoe jailbreak yake. pole mkuu
 
ndo hvyo nishafanya kwa bahati mbaya....so nitafanyaje ili kuepuka tatizo??
Mkuu hapo ni Kama vile kupigwa ban subiri baada ya miezi miwili jailbreak itatoka nenda kanunue simu inayotumia android wakati unasubiri
 
Check jailbreaknation.com ila bado ipo beta version

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…