Msaada interview za TRC

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wanakuwa na roho nyepesi. Na wameita watu wengi tu kwenda oral.
Mi nilifanya zote mbili ila niliyo ipata ni ambayo sikutegemea kulingana na pepa yenyewe ilivyo kua
 
Wazee naombeni kuuliza majibu ya oral interview za itumishi yanatoka baada ya mda gani maana ni 25days now naona kimya
 
Habari ndugu zangu,

Mdogo angu kaitwa interview ya vitendo shirika la reli TRC kwa fani ya equipment operator kwa mwenye ufahamu wanatumia mashine gani kufanyia usahili?
Ingekuwa miaka ya zamani tungekuelekeza watu, angeenda tu kuzuga kuchukua kazi, siku hiz wengi hawana moyo ya kusaidia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…