Mabugamtundu
Member
- Jun 3, 2021
- 15
- 8
Peni yake na ruler kama ikibidi. Peni lazima. Kwani kaitwa written, oral au vitendo??
Msalimie masanja Kadogosa na Beni MwanantaraHabari ndugu zangu,
Mdogo angu kaitwa interview ya vitendo shirika la reli TRC kwa fani ya equipment operator kwa mwenye ufahamu wanatumia mashine gani kufanyia usahili?
mzee njoo inboxWale walio itwa kwenye Interview ya HR mje tujuaje apa
Oi baba hali ilikuaje kwenye HR au ushasepa mapema? [emoji16][emoji16]Wale walio itwa kwenye Interview ya HR mje tujuaje apa
Kuna mwana tokeo limemkutia dsmOi baba hali ilikuaje kwenye HR au ushasepa mapema? [emoji16][emoji16]
Hehe! Mwenyewe nataka nifanye hivyo manake huku maisha gharama gharama tu.Kuna mwana tokeo limemkutia dsm
Hivi matokea ya usaili ya oral wanatoa lini kwa waliofanya jana
Tegemea kuanzia baada ya wiki 3Hivi matokea ya usaili ya oral wanatoa lini kwa waliofanya jana
[emoji38][emoji38][emoji38]Oi baba hali ilikuaje kwenye HR au ushasepa mapema? [emoji16][emoji16]
Acha uongo wamesema wanatoa leo kabla siku haijaisha watakua wamesha toa mana walitangazaTegemea kuanzia baada ya wiki 3
Leo mkuu stay tunnedHivi matokea ya usaili ya oral wanatoa lini kwa waliofanya jana
Matokeo ya interview ya oral?? Siku 2 watoe πππAcha uongo wamesema wanatoa leo kabla siku haijaisha watakua wamesha toa mana walitangaza