chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,540 Reaction score 2,683 Oct 20, 2021 #141 dean05 said: Wakuu Kuna mtu anaiaccess website ya magereza? Click to expand... Iko down kwa muda
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 20, 2021 #142 chlorine gas said: Iko down kwa muda Click to expand... Au ndio nao wanaupload mkeka wa usaili nini..
chlorine gas said: Iko down kwa muda Click to expand... Au ndio nao wanaupload mkeka wa usaili nini..
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #143 Nahisi Tena jina langu ni zito Sasa huwenda inawapa shida
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #144 Uzi unabidi uwe wa moto Kila mda huu maana mda wowote
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 753 Oct 20, 2021 #145 Website Ina kama siku 3 Iko down
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #146 Unashida gan kwenye ile website kijana
D Disichilado Member Joined Oct 20, 2021 Posts 21 Reaction score 8 Oct 20, 2021 #147 Yan Hawa jamaaaa inabid watufanyie hima nashangaaa polisi wamechkua watu Zaid ya 1000 aseeeeeeeeee na magereza wajitahd hata wafike 2500+
Yan Hawa jamaaaa inabid watufanyie hima nashangaaa polisi wamechkua watu Zaid ya 1000 aseeeeeeeeee na magereza wajitahd hata wafike 2500+
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #148 SEMA tukupe mwongozo dean
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 20, 2021 #149 Nadhani wana upload mkeka wa usaili ndio maana wamefunga kwanza website
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #150 Twyn said: Nadhani wana upload mkeka wa usaili ndio maana wamefunga kwanza website Click to expand... Eeeh mkeka tulambe kichwa Babu
Twyn said: Nadhani wana upload mkeka wa usaili ndio maana wamefunga kwanza website Click to expand... Eeeh mkeka tulambe kichwa Babu
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,540 Reaction score 2,683 Oct 20, 2021 #151 Twyn said: Nadhani wana upload mkeka wa usaili ndio maana wamefunga kwanza website Click to expand... Ina muda iko hivyo
Twyn said: Nadhani wana upload mkeka wa usaili ndio maana wamefunga kwanza website Click to expand... Ina muda iko hivyo
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 20, 2021 #152 Choo Cha Kulipia ukuje huku nako
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #153 Me Dua zangu nikupata kazi maana njaa itaniua ivi cheo Cha chini kabisa unalipwa shingap pale
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #154 hyassin92 Njoo usiishie ku comment
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 20, 2021 #155 man of sun said: Me Dua zangu nikupata kazi maana njaa itaniua ivi cheo Cha chini kabisa unalipwa shingap pale Click to expand... Kwani huna fani mkuu...nasikia malipo yote yanafanana hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani
man of sun said: Me Dua zangu nikupata kazi maana njaa itaniua ivi cheo Cha chini kabisa unalipwa shingap pale Click to expand... Kwani huna fani mkuu...nasikia malipo yote yanafanana hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #156 Twyn said: Kwani huna fani mkuu...nasikia malipo yote yanafanana hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani Click to expand... Fan ninayo Ila sijamaliza nimebakiza mwaka mmoja kama ntapata nafasi basi ntakuja malizia miakani uko
Twyn said: Kwani huna fani mkuu...nasikia malipo yote yanafanana hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani Click to expand... Fan ninayo Ila sijamaliza nimebakiza mwaka mmoja kama ntapata nafasi basi ntakuja malizia miakani uko
Twyn JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 993 Reaction score 551 Oct 20, 2021 #157 man of sun said: Fan ninayo Ila sijamaliza nimebakiza mwaka mmoja kama ntapata nafasi basi ntakuja malizia miakani uko Click to expand... Ngoj wajuzi waje kutufahamisha mishahara ipoje Choo Cha Kulipia
man of sun said: Fan ninayo Ila sijamaliza nimebakiza mwaka mmoja kama ntapata nafasi basi ntakuja malizia miakani uko Click to expand... Ngoj wajuzi waje kutufahamisha mishahara ipoje Choo Cha Kulipia
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #158 Twyn said: Ngoj wajuzi waje kutufahamisha mishahara ipoje Choo Cha Kulipia Click to expand... Choo cha Kulipia
Twyn said: Ngoj wajuzi waje kutufahamisha mishahara ipoje Choo Cha Kulipia Click to expand... Choo cha Kulipia
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Oct 20, 2021 #159 Mwiteni Choo Cha Kulipia aje au
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 753 Oct 20, 2021 #160 man of sun said: SEMA tukupe mwongozo dean Click to expand... Huwa napita kuangalia kama Kuna update yoyote
man of sun said: SEMA tukupe mwongozo dean Click to expand... Huwa napita kuangalia kama Kuna update yoyote