Nawakumbusha haya maisha usidharau kazi ya mwenzio, leo hali tete watu wanatamani kulinda wafungwa
Kuna nyuzi nyingi tu humu mi binafsi huwa nawatetea sana askari kuna wakati wadau wa humu waliniita Polisi mara askari Magereza n.k lakini yote walikuwa wananiponda, mimi sio askari lakini niliyabeba yote hayo. Watanzania heshimuni kazi za wenzenu