Habarini wakuu..
Tafadhari aliewahi kufanya written interview Utumishi hivi karibuni zinakuwaje?
Manake kila mtu anasema yake tafadhari naombeni nisaidieni.
Ukwel ni kwamba kule hakutabrik me nadhan madesa ya chuo hayana nafasi sana ktk writen,ila ni general knowl.kule hayo ya madesa ukibatika ktk oral ndo wakati wake. bora huyo aliyekuambia kuwa ya form 1 anayajua mazngra ya kule ktk writen!
wadau naomba msaada interview za utumishi kada ya computer system analyst,mana kada hii ni pana je wanapendelea sana kuuliza kwenye portion gani? tafadhali kwa mwenye ujuzi wa hili anisidie mana wengine ni fresh.

Interview za Utumishi kiboko nimefanya mara 3 written nimehudhuria paper mnafanya wa2 600 wakati nafasi zinazohitajika 3.You have to be very smart to get a chance.Ila usife moyo jaribu bahati yako consider both technical know how without forgeting technical know who.
utumishi hawajali muda kabisa yaani.
hafu wamesema leo ni oral nimekutana na paper la kuandaa presentation kwa microsoft power point.
interview wliosema.tutaanza.7am hadi sasa 2pm katika kada yetu hajaitwa ata mtu mmoja.

posts zote za chuo cha maji wdmi.
kilichofnyika ni hivi. ile presentation ulioiandaa wkt wa oral unaifundisha kwa dk 10, hafu wanaanza kukuuliza maswal mengine abt chuo na general qns
Wewe acha kudanganya watu hakuna paper hisiyo sahishwa utumishi wote tumepita uko tunaijua utumishi vizuri sana ninyi siku zote uwa ni watu wa negative tu sasa kama uli score 50% sasa hiv uko wapi