Ili ukose kazi sio?.kuna mambo ni lazima upindishe na uwe na majibu ambayo yanabeba uongo huo
Hilo ni swali la kipuuzi sana ,,Mimi kuna katasisi kaliniitaga kwenye usaili wakauliza swali kama hilo nikawajibu kwani kwenye CV yangu hamjasoma?, wakauliza swali lingine la unataka tukulipe kiasi gani nikawajibu 3.5million, wakasema kwainini nikawajibu MTU mwenyewe degree, CPA(T) mnataka mulipe shingapi,, kadada kakasema 1.5mill nikawajibu tafuteni wenye diploma huko,,, lingine swali eti umeoa, unamiliki nini?, na mengine mengi ya kijinga tuu,,,,
alafu kwa sababu hili swali linaulizwaga kingereza basi muweke majibu ya kingereza wakati mnatoa majibu. Msilete mambo ya walimu wa kingereza kutoka tz
[/QUOTE
Hilo swali ni la mtego Mbaya Sana halafu ukute hio interview Mpo candidates 100. Aisee Inabidi utunge uongo Tu hamna namna.
wadau wengine nafakiri watakuja kutoa Msaada zaidi.
wakati mwingine tunatumia uwongo ili tufanikiwe, na sio dhambi kubwa maana, maisha ni sehemu ya mapambano.
Sidhani kama alipata kwa haya majibu japo alikuwa sahihi, interviews nyingi especially ma HR wasiojielewa huwa wanauliza maswali ambayo ni irrelevant kabisa to the actual job function.Ulifanikiwa kupata ajira hapo kweli???
Embu iweke vizuri mkuu ilitakiwa iandikwaje mana tupo hapa kujifunzaMimi nimekuja kuangalia hii lugha uliyotumia
"ARE YOU CURRENTLY WORKING NOW?
mbona sentensi sio sahihi
Msaada interview: are you currently working now??
Kwa Kiingereza chako kwenye heading ya thread yako, je, neno 'currently' na 'now' yana tofauti kweli?
Are you currently working?Embu iweke vizuri mkuu ilitakiwa iandikwaje mana tupo hapa kujifunza