Nadhani ni mgeni huyu katika haya mambo alichokuwa anamaanisha ni Windows xp sp3. Hebie ungetuambia unatumia modem gani na je ukiinstall iyo modem inakubali au haikubali?
ukijieleza vizuri ndiyo tutaweza kukusaidia ila kama unashindwa kuinstall hiyo modem tafuta Net framework 3.5 na uinstall then ujaribu tena kuunga modem.