Msaada: Internet speed

Msaada: Internet speed

Ismailsimba

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
88
Reaction score
12
Kuna hii bando ya tigo ya 750sh, unlimited siku nzima, nimekuwa nikiitumia lakini kila nikifikisha GB1 basi network inaanza kusumbua, je kuna namna ya kulirekebisha hili?
 
unlimited ni maneno tu.. In other words.. Umepewa gb 1
 
Kuna hii bando ya tigo ya 750sh, unlimited siku nzima, nimekuwa nikiitumia lakini kila nikifikisha GB1 basi network inaanza kusumbua, je kuna namna ya kulirekebisha hili?
Mkuu kama unapata 1GB for only 750/= TZS, ni nafuu sana. Hebu mpe shukrani your ISP.
 
ahsanteni kwa reply zenu. Ningeomba kujua pia wapi naweza pata free wi-fi hotspot
 
Back
Top Bottom