Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,901 Jan 15, 2014 #1 Habari wana jukwaa! Nina tatizo Samsung Galaxy Tab 10.1 kila nikiunganisha inafanya kazi kwa muda mfupi kisha inakata na kuweka maelezo ya No Internet connection. Naomba Msaada wenu. Natanguliza shukrani.
Habari wana jukwaa! Nina tatizo Samsung Galaxy Tab 10.1 kila nikiunganisha inafanya kazi kwa muda mfupi kisha inakata na kuweka maelezo ya No Internet connection. Naomba Msaada wenu. Natanguliza shukrani.