itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 218
- 77
Habari wana JF, nimenunua Samsung Galax Tab3, lakini internet bado siipati nimejaribu kupiga simu Vodacom, kuomba wanitumie configuration sms, lakini wamesema kuwa simu aina hii inafanywa manually, sasa na hapa nipo mbali na Vodashop, naomba mwenye kujua manually configuration za simu aina hii anisaidie ili niweze kutumia internet. Asante