Nenda sehem ya 'Settings' halafu ingia 'Wireless and Networks' halafu ingia kwenye 'Mobile Networks' halafu hakikisha kibox cha 'Use Packet Data' kimewekwa tick then kwa chini utaona 'Access Point Name (APN)' ingia hapo. Gusa juu kabisa kulia kwenye kona halafu chagua 'New APN',hapo chagua sehem ya Name andika neno 'internet' na sehem ya APN weka 'internet' pia sehem za username na password achana nazo. kuanzia hapo itakuwa kitu but make sure una credit au bundle.
ikikataa hapo sema na ikikubali nirushie 250 tu.