Msaada, Internet Configuration kwenye Galaxy Tab 10.1

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
Wadau,

Nimeletewa hii kitu ya Tab. Sasa nataka kuanza kula vitu vya JF but Ndo hivyo tena mambo ya tigoweb yamenishinda.

Please help
 
Nenda sehem ya 'Settings' halafu ingia 'Wireless and Networks' halafu ingia kwenye 'Mobile Networks' halafu hakikisha kibox cha 'Use Packet Data' kimewekwa tick then kwa chini utaona 'Access Point Name (APN)' ingia hapo. Gusa juu kabisa kulia kwenye kona halafu chagua 'New APN',hapo chagua sehem ya Name andika neno 'internet' na sehem ya APN weka 'internet' pia sehem za username na password achana nazo. kuanzia hapo itakuwa kitu but make sure una credit au bundle.
ikikataa hapo sema na ikikubali nirushie 250 tu.
 
IMEKUBALI mkuu newbie,

Umeniokoa na mafuta + muda wa kwenda Mlimani City.

Ahsante sana aisee.
Naku PM vocha ya tigo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom