Quicklime Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 177 Reaction score 64 Mar 25, 2015 #1 Wadau habari! ninaomba mnisaidie kwa yeyote aliyewahi kutumia hii app ya internet banking ya crdb inapatikana playstore. Kwangu inakataa ku log in na registration ya hii kitu nilishafanya nina access kwenye internet..... Attachments 1427316158549.jpg 30.5 KB · Views: 151
Wadau habari! ninaomba mnisaidie kwa yeyote aliyewahi kutumia hii app ya internet banking ya crdb inapatikana playstore. Kwangu inakataa ku log in na registration ya hii kitu nilishafanya nina access kwenye internet.....