Naomba mwenye uelewa juu ya hii biashara nina mtaji wa kutosha na wilaya ninayokaa hamna huduma hii ya internate cafe so ningependa kuifanya
Naomba mwenye uelewa nayo anielekeze jinsi ya kuianzisha na je inalipa?
Nawasilisha
Inalipa kiasi chake tafuta sehemu nzuri weka PC za kutosha,weka Photocopy....nenda ttcl wakupe nduki!!ukiweza kupata kila PC masaa 8...kwa siku utapiga hesabu zako na itakulipa!!
Zamani kwenye cyber cafes ilikuwa foleni kusubiria mashine. Siku hizi nivigumu kupata foleni. Weka computer chache ila kuwe na upande wa stationery, typing, printing, photocopy na ikiwezekana passport size photo za hapo hapo.