Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Asante sana maana nlikaririshwa 0.5 ila mara nyingi huwa napata 1.Sio constant, it varies from 0.5 to 1, kadri inavyozidi kutumika
Asante sana maana nlikaririshwa 0.5 ila mara nyingi huwa napata 1.
Siku nyingne usiingilie mjadala wa watu wenye akili timamu.Unapata 1 kitu gani??-- au yai moja?!![emoji1787]
Siku nyingne usiingilie mjadala wa watu wenye akili timamu.
Huwa naona kinyaa ninapoona mtu mzima anafanya ushindani wa kipuuzi, ko waliojibu hapo wamepoteza nini? Kihiyo tu wewe!Wewe una akili gani?!!, unashindwa hata kuandika resistance in its Unit.
Mfano; mtu mwenye akili anaweza kuuliza: " Hivi uzito wa jiwe hili ni 1??"[emoji1787]------ wakati ambapo swali lingekuwa hivi: " Hivi uzito wa jiwe hili ni Kilogram 1 ??.
Watoto wa siku hizi ni caput sana.
Huwa naona kinyaa ninapoona mtu mzima anafanya ushindani wa kipuuzi, ko waliojibu hapo wamepoteza nini? Kihiyo tu wewe!