Msaada: Installing Win7 kwenye Samsung N100 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Installing Win7 kwenye Samsung N100

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gurta, Oct 3, 2012.

 1. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi,

  Nimepata netbook Samsung N100 ikiwa na FreeDOS preinstalled, nikataka kuing'oa ili niweke Win 7. Baada ya kujaribu kwa muda bila mafanikio, nikawa na explore baadhi ya DOS commands na nafikiri kwa bahati mbaya nime-format drive C. Sasa nashindwa kui-install chochote kwani kila nikiiwasha napata ujumbe kwamba natakiwa kuweka 'bootable floppy...'

  TATIZO ni kuwa hata external CDROM drive haiwi detected so hata nikiwa na bootable DVD bado haisaidii.

  Wakuu kuna namna naweza fanya hapa ili Windows iingie au ndo imekula kwangu? Natanguliza shukrani.
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Ingia kwenye bios, halafu kwenye boot sections weka USB kama first option then chomeka ezternal yako itakubari au tengeneza bootable USB kwenye computer nyingine itakubari lakini baada ya kuweka USB as the first option.
  All the best
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hiyo nimefanya mkuu, lakini wapi.. Kwenye BIOS kwa kawaida inatakiwa uone jina (type and make nafikiri) la manufacturer wa hiyo external CDROM, si ndio? Hiyo haipo kabisa. Nimejaribu na bootable flash lakini inaigomea kuwa it is not a bootable 'floppy'.
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Sometimes external cd room ikiwa na cd kwenye bios uwa inasoma kama usb ndiyo maana nilikushauri uweke USB kama first choice. Je wakat watengeneza bootable flash umeitengenezaje mkuu? Isije kuwa umecopy file za windows ukazitupia kwenye flash tu
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nimetumia ImageWriter ya LinuxMint 13, anyway nimeamua kubadili na kutengeneza ya LinuxMint. Ngoja nijaribu na hii. Thanks for the concern, bru!
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  kwann usi create kwa kutumia hii Windows 7 USB/DVD download tool
   
Loading...