jinsi ya kufuta windows old safely fuata hizi processkwa wenye utaalamu na min laptops,nimefanya installation ya windows 8 kwa kutumia flash disk,ila kuna mafail yanayoonekana kama windows old,je nikiyafuta yanaweza kuleta hatari ktk current operating system.
kwa ninavyo jua windows 8 haiko compactible na min laptops kuna baadhi ya apps zinahitaji high resolutions
kwa ninavyo jua windows 8 haiko compactible na min laptops kuna baadhi ya apps zinahitaji high resolutions
mimi nliweka win 8 kwenye samsung np100 kama cjasahau na ilikuwa poa tatizo lilikuwa ni graphic drivers so resolution ikawa poor na apps zikawa hazirun, sasa mimi nikajua tatizo ni drivers!
kwani maximum resolution ya min laptop nyingi ni ngapi?
Wakuu chief-mkwawa na Nyasiro SuperImpressor tukiwa tunasubiria hilo toleo 26 june
ambayo hatujui itawekwa Torrent siku gani
kuna huu ujanja https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/394951-product-key-of-windows-8-a.html