Msaada Infinix smart 5

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
475
Reaction score
600
Tafadhali Jamani

Simi yangu Ya Infinix smart 5 ukipiga au kupigiwa wakati wa kuongea haitoi sauti mpaka uweke loud speaker

Mwenye kujua jinsi ya kutatua msaada tafadhali
 
Una muda gan tangu uinunue
 
Pole mkuu ,wapelekee pale carlcare jirani na msimbazi k.koo watakutengenezea bure
 
Hiyo simu changamoto mno, ilipita mkononi mwangu sikuweza hata kutoboa nayo week 2.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…