Msaada: Infinix note 2 ya laini 2 inasoma laini moja tu

Retards Finder

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Posts
509
Reaction score
706
Msaada wakuu.

Simu yangu aina ya infinix note 2 inakubali kusoma laini moja tu,simu ni ya laini 2.
Laini inayokubali kusoma ni laini ya TTCL tu.

Laini zingine zinasoma lakini mtandao haupandi,zinaandika neno emergency calls only.

Wataalamu wa hizi mambo za simu nisaidieni.
 
Usihofu mkuu simu yako ipo kizalendo sana au umenunua pale Lumumba?


Sent using IPhone X
 
Hio line ya kwanza jaribu kubadili badili line za mitandao tofauti, pengine ni zile simu za mitandao ya simu kama Tigo na voda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…