Msaada: Infinix haina Network

Untaste Bug

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
83
Reaction score
93
Habari Wandugu,

Kama title inavosema, Simu yangu Aina ya Infinix Hot 6 haikamati mawasiliano kabisa, yaan no Calls, no SMS no Internet zaidi ni Wifi only. Naomben Msaada iweze kuaccess mawasiliano.

Kwa wenye kujua tafadhali.
 
Tatizo linamuda gani? Limeanza ghafla au?

Hebu jaribu kurestart simu yako, then see what will happen.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ngoja ninyamaze maana hunijui ndomn sawa kijana endelea kulopoka
We jamaa niaje,,kosa kuchek imei au?kama hujui haya mambo kaa kimya
 
mzee tafuta mafund simu haswa software wacheck tatz inawezkuwa ni basendand imefeli au nvram ww pelek kwa software watalekebisha naamini[emoji120]
Habari Wandugu,

Kama title inavosema, Simu yangu Aina ya Infinix Hot 6 haikamati mawasiliano kabisa, yaan no Calls, no SMS no Internet zaidi ni Wifi only. Naomben Msaada iweze kuaccess mawasiliano.

Kwa wenye kujua tafadhali.
 
najua laiti ungenifaham mzee ungeleta heshima sana ila endelea
Sasa kama unajua unashangaa nn mim kumuulza imei namba kama zipo sawa?

Mara ngap imei inakua compromised ? Nafkr hata ww hatufahamiani
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ngoja ninyamaze maana hunijui ndomn sawa kijana endelea kulopoka
Si kosa ku repair IMEI namba original ya simu husika iliyo corrupt, ila ni kosa kubadili IMEI namba ya simu husika na kuweka isiyo yake nadhan mrejee vizuri utaratibu
najua laiti ungenifaham mzee ungeleta heshima sana ila endelea
Hapa si mahali pa kutishana maana kila mtu ni anonymous hivyo hatufahamiani isipo kuwa verified users pekee, huenda unaye sema hakufahamu na angekufahamu angeleta heshima kumbe ndiye boss wako hapo ulipo na ndiye unaye mpigia salute kila muonananapo.
 
Tatizo linamuda gani? Limeanza ghafla au?

Hebu jaribu kurestart simu yako, then see what will happen.
Nimerestart na pia hata mfumo unanishauri kufanya hvo ninapoiwasha ila no chocolate, I tried much more but no respond ktk hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…