Msaada: Industrial Engineer natafuta Kazi/Ajira

Fanya mpango wa kufika nchi inayoitwa UAE

Hapa Bongo inawezekana kupata kazi ila kwa kuzunguka sana kwenye maeneo yenye viwanda
 
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali.

Umri wangu ni Miaka 32
Ni mkazi wa Dar es Salaam
Nina uzoefu katika fani mbalimbali kama:

-Engineering Maintenance.
-Manufacturing and Production.
-Machine and Equipments installation.
-Material Engineering and Management.
-Industrial Healthy and Safety.
-Engineering Sales.
-Warehouse Management and Inventory Control.
-Logistics and Transportation.


Pia ninaujuzi na uzoefu katika Software zifuatazo:-
-Design Software: AutoCAD, SolidWork.
- Manufacturing software:Computer Aided Manufacturing(CAM)
-Simulation Modelling Software: SIMUL8.
-Automation and Robotics Softwares.
- Computer Programming: Object Oriented Programming (OOPs).

Naomba mwenye connection au anehitaji wa fani hizo au nyingine zinazousiana na hizo awasiliane nami kwa email ifuatayo.
betshebawambura99@gmail.com

Natanguliza shukrani zangu za pekee kwenu wapendwa.
Mkuu vip kazi umepata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom