Msaada:Incoming Calls zinagoma

The August

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
1,079
Reaction score
2,027
Habari wakuu.

Sim yangu Tecno W5 Lite, nikipigiwa sim anayepiga anaambiwa Sim busy. Nimejaribu kuangalia Diversion ziko inactive. nimejaribu kutoa Line kuhamishia sim nyingine imefanikiwa kupata call bila shida.

Ninaomba msaada kujua shida ni nini? na nina imaliza vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua umedukuliwa sim yako. Kama mawaziri wanadukuliwa sim zao, sembuse wewe.Maana kama ukibadilisha line inakua poa then hakuna kingine.[emoji23] [emoji23]
 
kudukuliwa inafanywa kwenye line au sim?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vinafanyika mkuu, unaweza ukadukuliwa line au simu. Mtu anaweza akadukua hata camera ya sim yako muda wowote, ikawa inajipiga picha au video ya unachofanya.

Pia hata wewe unaweza ukadukua sim hata ya mtu wako wa karibu ikawa inakutumia sms, picha, phone calls zote anazofanya siku nzima. Hata ukaizima kwa kutumia sim yako.

Ni kazi ndogo sana kudukua.

#Natamani kuanzisha uzi wa jinsi ya kudukua au kugeuza sim yako kama CCTV camera (ikawa inapiga picha pale inapo SENSE MOVEMENT na kuzihifadhi au kutuma katika database unayoitaka). Ila nahofia watu kutumia mambo hayo kwa matumizi yasio mazuri.
 
Moderator tunaomba muanzishe uzi au Jukwaa kabsa la matatizo ya simu za Tecno, maana tumeshachoka Sasa, kila uzi Tecno Tecno khaaa!

Kwanini unateseka??

Tecno sio Baba yako achana nayo tupa chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mtu atakuwa amekuwekea barrier....yaan kazuia simu yako wanaokupigia wasikupate Wala wakituma SMS hazifiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…