ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 248
Nina kijana wangu anasoma chuo kimoja hapa dar kozi ya CLINICAL OFFICER kutokana na upuuzi unaoendea kwenye icho chuo nafikiria kumuhamisha je ni taratibu gani za kufuata ili kufanikisha uhamisho huo na ni chuo gani kizuri kwa maeneo ya dar es salaam