Msaada inakopatikana htc legend

Msaada inakopatikana htc legend

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Samahani wanajukwaa naomba kwa yeyote yule anayeifahamu hii simu ya htc legend kiundani,bei na sehemu inakopatikana iwe mpya au used.nataka niinunue hii simu.
 
nenda kariakoo mtaa wa aggrey,huko utaoata mpya na used
 
Back
Top Bottom