Msaada.iliko hii hotel na gharama zake zikoje

Msaada.iliko hii hotel na gharama zake zikoje

Asee kumbe na chuo kipo!!sipati picha uhitimu hapo alafu cheti chao uje uombee nacho kazi hapa bongo kwetu kama utapata kazi sijui!!
Kipo mkuu, walimpa jamaa yangu mmoja scholarship
 
Ipo nyingine opposite na iyo inaitwa ya k*** ya baridi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom