kimpe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 910 Reaction score 862 Sep 19, 2013 #1 Salaam wakuu idm nikitumia modem ya voda inafanya hivi na hai download lakini nikiweka modem ya airtel inapiga mzigo kama kawa naombeni mnisaidie utatuzi natanguliza shukran
Salaam wakuu idm nikitumia modem ya voda inafanya hivi na hai download lakini nikiweka modem ya airtel inapiga mzigo kama kawa naombeni mnisaidie utatuzi natanguliza shukran
DanielP Member Joined Dec 29, 2011 Posts 97 Reaction score 25 Sep 20, 2013 #2 Kwa iyo modem yako ya voda ndo kusema ina ji disconnect naisi ndo maana inafanya ivyo.