malware wa kisasa wengine sio virusi hivyo ant virus zinashindwa kudetect, jaribu software moja inaitwa malware bytes, yenyewe ni ya kisasa zaidi kuliko ant virus ya kawaida tumia hio. download tu trial site yao.