Msaada: idadi ya watumiaji wa mitandao ya Tigo,Vodacom, Zantel,Airtel na Halotel Jiji la Arusha

utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
23
Habari wadau !

Naomba kusaidiwa idadi ya watumiaji wa mitandao ya simu ifuatayo kwenye jiji la Arusha.

1) Tigo ...........
2) Airtel ...............
3) Zantel..............
4) Halotel...............
5) Vodacom................

asante!
 
Arusha mtandao unoongoza kwa wateja wengi ni VOD, ilifika mahali mtu akitaka namba yako anakuambia "naomba voda yako", ila kukutajia idadi ni ngumu hiyo ni kazi ya kupatiwa fungu kabisa la kufanya survey.
 
Nn lengo la hizi takwimu?
Tena usionyeshe sura yako vodacom kwa maswali kama hayo wanaweza amini umetumwa na mtandao pinzani.Lakini tueleze tu unachotaka kufanya na hizo data.Huna uwezo wa kuwazawadia watumiaji idadi waitakiani?
 
Sio mimi mkuu fuatilia majina..
 
Back
Top Bottom