Mkuu Sasa Ngoja Nikupe Maujanja...
Kama Inazingua Iuze Na Ununue Dzyn Nyingine Maana Hayo Ni Mateso Unayojipa Pole Sana Mkuu!
niuzie betri ake nna shida nayo sn
YAANI SIKUHIZI HILI JUKWAA LIMENGILIWA NA VILAZA FULL MPAKA LIMEPOTEZA MAANA, JAMANI ACHENI UTANI KTK MAMBO YA MSINGI.
MKUU GAZETI KWA UELEWA WANGU JARIBU KUBADILISHA HIYO HARD DISK DRIVE YA PC YAKO HUWENDA NI MBOVU.
we dogo acha ujinga wewe kilaza nani sasa kwani kama haifanyi kazi tusiinunue au?acha ubinafsi dogoyaani sikuhizi hili jukwaa limengiliwa na vilaza full mpaka limepoteza maana, jamani acheni utani ktk mambo ya msingi.mkuu gazeti kwa uelewa wangu jaribu kubadilisha hiyo hard disk drive ya pc yako huwenda ni mbovu.
Kuna watu wanakera sana!!
Sent from my IPhone using Tapatalk
we dogo acha ujinga wewe kilaza nani sasa kwani kama haifanyi kazi tusiinunue au?acha ubinafsi dogo
Alafu We Jamaa Uwe Na Lugha Iliyostaarabika
Sio Unaropoka Tu!
Hapo Ukilaza Wangu Uko Wapi?
Nililomshauri Halieleweki?
Yaani Ukome kabisa...Tena Usome Yakuingie...U.K.O.ME
Maana Ukiongeza Neno... Ukilaza Wangu Halisi Utakudhuru!
we umemsaidia nini?mi nimemsaidia kwa kutaka kununua betri akishindwa tengeneza haya wewe umesaidia ninidhumuni la mleta uzi ni kutaka msaada wa kiufundi (maintanance or it), kama uliona huna unalolijua ktk pc ungekaa kimya, maana sioni kama ushauri wako utamsaidia kuweza kutatua matatizo ya pc yake.samahani kwa kukukwaza.
uwe na hekima kuita watu vilaza na huwajui si vizuri kijanadhumuni la mleta uzi ni kutaka msaada wa kiufundi (maintanance or it), kama uliona huna unalolijua ktk pc ungekaa kimya, maana sioni kama ushauri wako utamsaidia kuweza kutatua matatizo ya pc yake.samahani kwa kukukwaza.
we dogo acha ujinga wewe kilaza nani sasa kwani kama haifanyi kazi tusiinunue au?acha ubinafsi dogo
Join Date : 6th April 2012Posts : 777Rep Power : 495Likes Received160Likes Given76Dhumuni la mleta uzi ni kutaka msaada wa kiufundi (maintanance or IT), kama uliona huna unalolijua ktk PC ungekaa kimya, maana sioni kama ushauri wako utamsaidia kuweza kutatua matatizo ya PC yake. isitoshe hajatangaza biashara.Samahani kwa kukukwaza.
Dhumuni la mleta uzi ni kutaka msaada wa kiufundi (maintanance or IT), kama uliona huna unalolijua ktk PC ungekaa kimya, maana sioni kama ushauri wako utamsaidia kuweza kutatua matatizo ya PC yake.
Samahani kwa kukukwaza.
Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink
sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation
ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo
nimejaribu njia nyingi.
We Dogo Uliyeniandika "Ukilaza" Eti Kisa Nimemshauri Kamanda Wangu GAZETI Kuwa "Kama Inamzingua Aiuze Na Anunue Nyingine"
Jua Ushauri Wangu Haubomoi Kamwe!
Kwani Hizo Pesa Zitabaki Kuwa Za Kwake!
Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink
sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation
ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo
nimejaribu njia nyingi some times inaniletea bluu screen nifanyeje?.
Yaani ikifika sehemu ya kufungua Window tu hapo
ndo inaganda. Msaada waungwana.