Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi,
Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo university while her bf ana kazi nzuri tu katika kampuni moja ya simu kubwa nchini. five months ago alipata mimba bf wake akainsist sana waitoe mimba dada wa watu kwa shingo upande akaitoa. Sasa leo nilipokuwa naongea naye ameniambia kuwa ana mimba nyingine na bf wake yupo mad anataka abortion itake place. Mdada kagoma kutoa mimba anadai alipo abort first tym she's been feeling guilt. Binti hataki kwenda nyumbani na mimba pekee, unless wanaenda na jamaa kujitambulisha or harudi kabisa home maana home kwao nako hakupo gud. Alianza dada mtu kapata mimba nyumbani wakampokea kwa shingo upande mama pressure ikiwa juu kidogo, miez mi13 iliyopita mdogo wao wa mwisho naye kapata mimba mzazi nusura apagawe (mzazi ana kisukari) sasa now ni huyu wa katiati, yeye mwenyewe amepanga kutorudi nyumbani kuhofia kumuumiza zaidi mzaz wake. Mi nimemwambia asiporudi hom ndo atamuua mzaz wake bila chenga. Akanambia then hajui wat to do but hayupo tayar kuabort na kalia bati msimamo wake. Nimemwambia amwambie mchizi wake aende kujitambulisha kwao faster but msela hataki hiyo kitu( Binti kafikia kwa msela jijini na home kwao wanajua binti bado yupo chuo mkoani.)
Jamani msaada wa mawazo.., anatia huruma sana wandugu..

honestly mwenyewe nimempa kubwa bila kumkeepesha na kumwita mzembe na zezeta. Kinachokera ni kwamba she just aborted few months ago n now she z pregnant again.., na jamaa mwenyewe hataki kwenda kujitambulisha..!
huyo dada anapenda ngono zembe sana yaelekea hawezi vumilia mwez bila kudo.. So hata akitoa bado atapata tena nyingne atatoa ngapi? Kutoa mimba ni fashen? Mwambie atunze mimba hyo ukipanda mchicha usitegemee kuvuna samaki. Hayo ndio mavuno ya ngono zembe!Yaelekea hao walitoa mimba, na kabla hata huyo dada haja - stabilize wakafanya tena ngono zembe, kwahiyo wameunganisha mimba nyingine juu kwa juu...(kwa mujibu wa madaktari). Ila apige moyo konde, asitoe mimba na asikate tamaa!