Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Sasa msaada wa nini? Anaolewa baba yake au yeye? Si mwanzo walitaka kufanya mambo bila send off sasa nini kinazuia hapo. Wao waende zao wakafunge ndoa waanze kutafuta watoto. Hata siku moja mzazi hawezi kukomplketi maisha yangu kwa imani yake. Kuna mambo ya kuelekezana lkn sio yanayohusisha imani kwani kila mtu na kaburi lake
Haswa ndicho kilichomkibiza mzee!! FF jaribu kupata picha hii mwanao binti anakuletea hadithi kama hii, gozi laweza kukimbilia Mombasa kuepuka fedheha, lakini huyo baba anampenda mwanae sema hiyo ndoa imemshinda!Hakuna ndoa hapo Kiislaam, waende tu wakafanye zinaa.
Hakuna ndoa hapo Kiislaam, waende tu wakafanye zinaa.
Hata harusi siyo muhimu. cha muhimu ni kuishi pamoja as a family.Sasa kama baba kakimbia na ile laki nne..
Anyway, send off sio muhimu, cha muhimu harusi.