Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Mtwara Smart jiwekee utaratibu wa kuanza kufanya mazoezi .. jiwekee utaratibu wa kuanza kucheki movies ambazo ni za comedy .jijengee utaratibu wa kuwa busy kuperuzi jf na Twitter ukifuata huo ushauri wangu vyema Huyo manzi utamsahau haraka Sana
 
Plz naomba mawasiliano ya huyo mchumba ako, nahitaji anipeleke kwa mtaalamu wake wa hilo limbwata, yaan hadi mama mkwe amelevya nalo mweeeh.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilimpiga Sana Aisee, Ngumi Kali
sio dawa...na keshajua madhaifu yako..ukiombwa msamaha na kupewa papuchi basi ushalendemka....!! acha kushi kwa mazoea..ipo siku yako mbaya mbaya zaidi...inakuja we mng'ang'anie tu huyo mwanamke.
 
Msela kapenda malaya, noma sana!

Itakua uyo manzi ni pisi kali halafu uno feni... Lazima uchanganyikiwe.

Enewei, ukiwa kama clinician utakua unakutana na totoz nyingi nyingi. Omba namba mzee baba usiishi kinyonge. Ukiwa unaflirt na wasichana wawili watatu kipindi hiko unchopitia inasaidia angalau
 
Hivi unakuja kuleta upumbavu wako hapa Kwa nini usingefanya siri yako,mjinga kabisa wewe
 
huwezi ukaichukia voda ikiwa huna line nyingine kama tigo na halotel..lazima utaweka tena salio na kuitumia ukiacha tafuta mbadala fasta...
 
Mkuu pole sana.. Uchi unakupa mateso sana..

Kaa tulia hilo jambo ni la muda tu....

Ila usipuuzie hadi hapo ulipofika una kila dalili za mtu aliyepigwa Limbwata
 
Kudadadadaaadekiii aisee kwa yoyote aisie amini LIMBWATA lipo amcheki huyu jamaaa😳😳😳
 
Hali hiyo huwa ipo tu, ni wewe kujizoeza taratibu tu utakuwa sawa.

Hapo tiba ni muda tu.
 
Nimecheka sana.!
Haachi kashike tena simu yake uone.Ndo maana wanasemaga msishike simu zisizo zenu kama mnajijua wote mmechachamaa.
 
Kama Alito Mimba na ukakubali achana nae huyo hastahi kuwa mke
Kosa la pili ni kutoa Mimba na wewe ukakubali ulifanya kosa kubwa kiukweli maana mtu wa kuwasaidia ndio mmemuua
Achana nae na utubu kwa kosa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…