Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Kama Alito Mimba na ukakubali achana nae huyo hastahi kuwa mke
Kosa la pili ni kutoa Mimba na wewe ukakubali ulifanya kosa kubwa kiukweli maana mtu wa kuwasaidia ndio mmemuua
Achana nae na utubu kwa kosa hilo
Makosa yote yanaweza kusameheka ila hilo la kukukana, kuliwa jicho na kutoa mimba hayakubaliki.

Huyo hana future, labda umweke kwenye fuccck zone tu, maana inaonesha siyo mchoyo. Ukikitaka unakipata bila wenge
 
Malaya uwa habadiliki utwakufa wewe.
Ukitaka achana na mtu acha mawasiliano naye futa kila kitu chake halafu huyu hakupend alimchagua mshkaj mbele yako.
Acha kuentertain malaya huyo atakuua
 
Dadeki mwamba kakutana na Khumbu wa Morogoro, kitu pekee ulichokosa ni namna ya kuweza kusifia kwa maandishi. Mwenzako konda msafi kapelekeshwa sana na toto la kisauzi ila hakuna aliyemlaumu badala yake kila mdau kaachwa katika kihoro cha kutaka kumjua Khumbu. Ila ndugu yangu ww upo nje ya ufahamu wako wa kawaida, ashakum si matusi, "Wewe ni bonge la boya aisee."
 
Huyu uliiishamuacha na sasa unatafuta namna gani naye atasikia maumivu uliyoyasikia kwa alichokutendea. Haumpendi tena bali ni kisasi
 
AMEN.!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umuachie kilema ili iweje? Mtu anacheat mara mia wewe unasamehe tu. Tangu mwanzo dalili zinaonyesha dem haeleweki wewe umeng'ang'ania tu. Jamaa karogwa au anapenda type hizo.. aendelee nae
🤣 🤣 🤣 Huyo jamaa kweli alilogwa
 
Aisee!
 
Kwanza Hongera huu uvumilivu wako sio wa nchi hii. Huyo Demu anakupenda sema shida yake ni umalaya tu ndio unao msumbua...sahau yaliopita achana naye anza maisha mapya
 
hakuna limbwata hapo..uchawi wake ni anakupa uchi bila hiyana na ile milio ukiikumbuka lazima udate..mimi kuna demu hapa nimekaa nae 6 yrs juzi kati nimekua nina wivu balaa mmh
 
Kuna watu mnajua kupenda mpka mnakua wehu..Na kupigiwa kote huko hujawahi kuchepuka na wewe? kama ni ndio basi kweli Mwehu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…