Fanya hard reset na jua kwamba utapoteza kila kitu kwenye simu yako.
Shikiria kitufe cha kuwashia simu + volume key then itakuletea sehemu ya ku-wipe simu yako afu chagua hiyo sehemu kwa kutumia volume up na down kuz kwa hapo hutoweza kutumia touch yako.
Fanya hivyo na Enjoy ila itabidi uanze tena kudownload application zote ambazo uliziweka kwenye simu.