Msaada: Huawei P8 lite Update.

Coke Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
1,024
Reaction score
544
Tafadhali mwenye msaada wa jinsi ya ku updade hii hiyo simu kutoka lollipop kwenda kwenye newest version.
 
Msaada tafadhali
Ushauri wa bure kama hakuna shida yoyote kwenye hiyo version achana na update, hapo ilipo ni safi sana tu ndugu yangu, mi nilikuwa na kiherehere cha kupata marshmallows (Android 6.0)najuuuta kuifahamu! Si kwa ulaji huo wa bando mzee. Natamani kurudi nyuma lakini ujanja ndo sina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…