Emmc ndo nini mkuu,,,niliipeleka kwa mdada m1 pale kkoo anasifika akaseema inalod file,,ikifika kati inakata,,,
Chef,mkwawa unaweza nisaidia jinsi
y a Kupata
hio motherboard ,au kunitengezea
Hapana sifahamu wala mimi si fundi WA hivyo vitu.
Ila huawei si wana ma agent wao Tanzania? Why usiwaone hao na kama Ina warranty itakua vizuri zaidi
Yaani hapo Chief sijakupata vema sio jibu nililotarajia kwa mtu anayeomba kutengenezewa motherboard. Hivi kuna fundi anayeweza? Si sawa na mtu kuomba atengenezewe hdd au memory card? Tanzania kuna kiwanda cha kutemgeneza hardware za simu?
ameuliza jinsi ya kupata motherboard,
na pia zinatengenezeka motherboard kipindi cha zamani cha s40 nakumbuka ikifa ac ya network unabadilishiwa tu nyengine, fundi anaipiga blower anaichomoa anachomeka nyengine. emmc ni sehemu tu kwenye motherboard ya storage kama utapata nyengine toka p6 mbovu au kama zinauzwa unaweza toa yako ukachomeka nyengine
kama hapa aliexpress wanaiuza
Aliexpress.com : Buy For HUAWEI P6 EMMC original (there are three type EMMC for P6 : T00 / C00 / U06,please notice me which type you need ) from Reliable p6 black for sale suppliers on Professional Group Technology | Alibaba Group
Kaka mm ntakusaidia firmware kama utahitaji ninazoAdolph ulinunua motherboard......asante mkuuuuu