Msaada Huawei files tranfer

Msaada Huawei files tranfer

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
1,223
Reaction score
998
Wakuu nisaidien huawei y6 pro yangu nashindwa kuhamisha documents toka phone memory kwenda kwenye pc kwa kutumia usb cable. Nimejaribu hata bluetooth imekwama japo simu na pc zimepair. Nifanye nini
 
Hakikisha simu unakohamishia brotooth iwe visible to all nearby devices
 
Wakuu nisaidien huawei y6 pro yangu nashindwa kuhamisha documents toka phone memory kwenda kwenye pc kwa kutumia usb cable. Nimejaribu hata bluetooth imekwama japo simu na pc zimepair. Nifanye nini
Mkuu nna simu ya hivi insumbua touch mkuu kwako vp
 
Sijaimiliki siku nyingi lakini naona kama sometime inabidi uclick mara mbilimbili ili irespond. Cha kunshangaza tu betri inakwisha haraka tofauti na walivyokuwa wakisema. Sichezi gemu ni whatsapp na jf tu lkn masaa14 tu tayari imeisha
 
mkuu njia nzuri ni wifi, bluetooth ipo slow. kama computer yako ina wifi download software yoyote ya kuhamishia mafile na wifi kote kote mfano dukto halafu hamisha mafile yako.

kuhusu hio ya usb uli install driver zake? bila driver huwezi hamisha mafile na usb
 
Mkuu hii wifi inakuwa ni bure au nalipia data. Sijawahi kuitumia. Hii ya USB sijaweka driver lakini simu nyingine huwa naconnect bile driver. Kuna driver nlidownload lakini nikatakiwa nisubscribe kwa pesa. Nimejaribu kama mara tano website tofauti majibu ni yaleyale. Labda kama kuna njia nyingine unipe maarifa
 
wifi ni bure just cheki playstore app zipo nyingi sana. wifi ni kama bluetooth.

cheki hapa kama simu yako ipo
Download Huawei USB Drivers for all models

naona kuna y600 sijui ndio yenyewe unaweza kwenda setting then about kujua full model

pia kuna hisuite ambayo ni software ya simu za huawei kwenye pc unaweza kuijaribu
 
Back
Top Bottom