Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Kupata Maelezo jinsi ya ku unlock au ku flash Huawei E303 Hi Link za Vodacom Tanzania nenda HAPA
Umetokaje hapa, nmekwama pia!?
Failed To Update Drivers
Bila woga wacha niingie Mzigoni, nitaleta feedback
CC: nurbert
Umetokaje hapa, nmekwama pia!?
Hiyo Tutorial kazi yake ni kuwezesha hiyo modem iwe kama modem za kawaida, yani ifungue ile interface ya Mobile partner na sio ile ya kwenye web browser.
So tutorial haionyeshi unlocking trick ya hizi modem
Nilifanikiwa brah, kwa win 8 mpaka u disable Driver Signature Enforcement mode! After you do so inakubali!!Kwa Windows 8 au 8.1 inaleta shida mie nilitumia Window 7 mambo yakaenda murua
Nikweli lakini hapo hapo unaweza unlock kwa ile njia ya Kimox, baada ya ku update drivers modem itaonekana kwenye COM ports hapo ndio unaflash zile firmware za Kimox
Yep nifanya kila kitu problem inakuja firmware inaona port kama kawa lakini inashindwa ku fetch details, sababu hiyo firmware siyo kwa ajili ya modem hiyo.
Mfano mie drivers zote ziliingia
View attachment 140283
View attachment 140285
Drivers zote hazikuingia mkuu na hapo ndio chanzo cha error, angalia hapo juu utaona kuna ki unknown driver HiLink na hiyo fanya kama ulivyo uodate driver ya kwanza hapo ndio modem itasona details, mie nime unlock modem kama hizi zaidi ya mara 6 bila shida
Mkuu ukiangalia vizuri hiyo driver inayo install ndo inaonyesha yellow mark na ilipomaliza ilikua kama hivi
View attachment 140620
Umeunlock hizo modem kwa firmware ipi mkuu, au kwa techniq ipi? kwa process hizo hapo juu haiwezekani sababu firmware ya e303 hilink ni tofauti na ya e303 basic.
Mpaka hapo kwenye drivers umefanya ipasavyo, baada ya hapo usitumie firmware ya HiLink bali tumia zile za kimox ambayo unaanza na Default Airtel Firmware bayo itadai password ambayo ni flash code kutoka katika Huawei Modem unlocker ambayo itacalculate IMEI ya modem na kukuoa hizo flash code na nck code, baada ya hapo uta flash ile UTPS Update,
Hii trick ya gkiwango tunaitumia kufanya modem isome kwa com ports tu wala hatutumii firmware za hilink mkuu
Good luck & ukikwama usisite kuuliza

kosa ni kwamba hukufata stepsile ya kwanza vizuri... Ilitakiwa u update drivers za huawei then u browse kule kwene mobile partener>drivers..........
Then ndo itakubali