nIMETOA betri sichini ya mara thelathin Kuna kipindi inashitua lakini haidisplay ingawa inaonyesha kuwa imewaka nataman kuifungua nyezo sina uwiii!
ni hp model gani? ukiwasha inatoa beep yoyote?nIMETOA betri sichini ya mara thelathin Kuna kipindi inashitua lakini haidisplay ingawa inaonyesha kuwa imewaka nataman kuifungua nyezo sina uwiii!
same tatizo kwangu Pia Jamani Me nimeiweka tuuuuuu. Hapa.
mkuu hilo tatizo lilishawahi kunitokea kwenye hp yangu,ila yapo mambo mengi tofauti yanayosababisha hivyo,usihof laptop yako ni nzima,ila inawezekana ime overheat kutokana na kuwepo na dust nyingi kwenye airvent hvo fan znashindwa kupooza mashine vizuri,mimi nlisoma kwenye internet na hp yangu nilitengeneza mwenyewe bila matatizo,nlichofanya nliiacha kwa mda wa kama siku 4 bila kuiwasha ila kuacha hardwares za ndan zicool alaf nkaaja nkaiwasha,baada ya hapo nkadownload tutorial ya kufungua laptop yangu nikafungua mwenyewe,nkatoa dust zote na sasa inapeta tu,ila kama nlivyokwambia kuna aina tofauti ya matatizo yanayopelekea hp kutoonesha display,hebu fafanua tatizo lako vizuri
Nafikiri hapa ndipo palikuwa pa kuanzia kujua kama screen iko safe au ina tatizo. Baada ya hapo troubleshooting nyingine ingefuata.Fanya yafuatayo :
- Chukua VGA cable (ni ile cable inaunganisha screen ya ya desktop na system unit)
- Sogea karibu na screen ya desktop computer kisha unganisha laptop yako na hiyo screen ukitumia VGA cable.
- Washa laptop yako iwapo itadisplay kwa hiyo screen ya desktop, basi screen yako ya laptop itakuwa si nzima au kuna loose connection somewhere.
hapo ndio pa kuanzia kabla hujaanza kufungua fungua.
Senior IT Specialist.